![]() |
Picha maarufu sana ya dunia yetu iliyopigwa na Mwanaanga Kutoka Marekani Bill Anders wakati wa ujumbe wa Apollo 8.
Tarehe 24 Desemba 1968. Apollo 8 ilikuwa mara ya kwanza chombo cha angani cha kubebea watu kushikwa na graviti ya mwezi na kuzunguka mwezi kwa ajili ya gravity hiyo.
Picha inayoonyesha umbali baina ya dunia na mwezi kulingana na ukubwa wao.
Umbali wa wastani baina ya mwezi na dunia ni kilomita 384,400. Mwezi wetu una upana wa kilomita 3,470. Dunia yetu ina upana wa kilomita 12,800









