Msichana kutoka wingereza Jane Morris Goodall alisafiri kutoka Wingereza Mpaka kigoma Tanzania mwambao mwaziwa Tanganyika,
Mwaka 1960 alikuwa ana Umri wa miaka 26 tu!! Lakini Ali shangaza ulimwengu kwa kazi yake ya Primatology (Elimu ya wanyama na Mimea) Aliyo Ifanya katika hifadhi ya Msitu wa Gombe Mpaka sasa hifadhi ina Sokwe zaidi ya 700..
Nimengi amefanya lakini kubwa zaidi ni 1977 aliamuwa kanzisha Chuo Cha
Jane Goodall Institute for Wildlife Research
 |
Alipokuwa na mwaka mmoja wakuzaliwa Baba yake Alimpa za wadi ya toi
|
 |
| leo dunia Inamjuwa,2002 alitunukiwa Nishani na UN |