Tuesday, July 7, 2015

Joto Uingereza lilifika Degrees 36 za Centigrade

Story kutoka Uingereza inahusu record ya juu ya joto ambayo haijawahi kutokea kwa kipindi cha kama miaka 10 hivi.
Kiwango cha joto imefikia degrees 36 za Centigrade..




 Kiwango hiki cha joto mara ya mwisho kilirekodiwa mwaka 2006, July 1 2015 imetokea tena.. Pichaz Kadha zinazoonesha hali ilivyo maeneo mbalimbali.......


Mamlaka ya Hali ya hewa Nchini Wingereza kupitia Urasa wao wa Tweter wali posti hi Picha