Wednesday, July 22, 2015

Zilikuwa zama za Ubaguzi wa Rangi Kwenye Mauaji ya Sharpeville

Ilikuwa ni tarehe 28,Mei1960 Afrika Kusini Mjini Sharvpeville Ambapo Polisi Africa Kusini waliwauwa wanachi wenye Rangi Nyeusi wapatao 69....

Ilikuwa ni Majonzi mana waandamanaji walikuwa wakiandamana bila siraha.
Lilikuwa tukio la simanzi ambalo limeacha historia ya Ubaguzi wa rangi mpka leo..