Resources
Total Pageviews
Blogger news
Video Posts
yotube
Popular Posts
-
Burundi ilundwa kama ufalme ulioongozwa na Watutsi waliotawala Wahutu. Lakini kabla ya ukoloni mipaka kati ya makundi hayo haikuwa imara ...
-
Misri ya Kale ni ustaarabu uliokuwepo Africa, sambamba na mto Naili, kuanzia kwenye delta au mdomo wa Naili, kaskazini mwa Misri kwenda k...
-
Pasifiki inayoonekana kutoka angani; Pasifiki ni bahari kubwa kuliko bahari zote duniani.I ko kati ya Bara la Amerika kwa upande...
-
Msichana kutoka wingereza Jane Morris Goodall alisafiri kutoka Wingereza Mpaka kigoma Tanzania mwambao mwaziwa Tanganyika, Mwaka 1960...
-
Tuzo ya Nobel ni tuzo ya fedha kwa ajili ya mafanikio ya pekee katika fani mbalimbali. Ilianzishwa na Alfred Nobel. Tangu mwaka...
Thursday, September 24, 2015
Friday, September 18, 2015
Adolf Hitler na Amri aliyo itowa September 1941
Published :
9:06:00 PM
Author :
Unknown
Agost 4 1962 Nelson Mandela Alifanya tukio lenye historia kwenye Maisha yake..
Published :
7:18:00 AM
Author :
Unknown
Huyu ndiye Mvumbuzi wa simu!!
Published :
6:55:00 AM
Author :
Unknown

Taarifa zinaonyesha kuwa mvumbuvi wa Masiliano ya Simu ni Alexander Graham Bell.Alizaliwa March 3 1847 nchini Scotland na kufariki Agosti 2 mwaka 19922.
Jaribio la kwanza lakutengeneza simu lilikuwa mwaka 1876. Hata hivyo kuna mkanganyiko kwani Juni 15 mwaka 2002 Baraza la Congress la Marekani ilipitisha Azimio namba 269 la kumtambua Antonio Meucci kuwa ndiye Mvumbuzi wa simu
Tuesday, September 1, 2015
Zijuwe Piramidi za Misiri...
Published :
12:16:00 AM
Author :
Unknown
Misri ya Kale ni ustaarabu uliokuwepo Africa, sambamba na mto Naili, kuanzia kwenye delta au mdomo wa Naili, kaskazini mwa Misri kwenda kusini hadi Jebel Barkal, penye maporomoko ya nne, wakati wa kupanuka kwake (Karne ya 15 KK).Ustaarabu huu ulidumu kwa karibu milenia tatu, toka takribani mwaka 3000 KK hadi mwaka 30 KK nchi ilipovamiwa na Waroma na kuwa sehemu ya Dola la Roma.
Subscribe to:
Comments (Atom)


