
Taarifa zinaonyesha kuwa mvumbuvi wa Masiliano ya Simu ni Alexander Graham Bell.Alizaliwa March 3 1847 nchini Scotland na kufariki Agosti 2 mwaka 19922.
Jaribio la kwanza lakutengeneza simu lilikuwa mwaka 1876. Hata hivyo kuna mkanganyiko kwani Juni 15 mwaka 2002 Baraza la Congress la Marekani ilipitisha Azimio namba 269 la kumtambua Antonio Meucci kuwa ndiye Mvumbuzi wa simu
Azimio hilolilipitishwa baada ya miaka zaidi ya 100 ya Bell kutambulika kuwa ndiye Mvumbuzi. Balaza lilidai Bell alitumia matokeo ya utafiti wa utangulizi wake hasa Antonio Meucci aliyekuwa na asili ya Italia.
