Friday, September 18, 2015

Agost 4 1962 Nelson Mandela Alifanya tukio lenye historia kwenye Maisha yake..

Nelson  Mandela aliyezaliwa Julai 18, 1918.

Agost 4 1962 Akiwa na umri wa miaka 44 Alikamatwa na Askari polisi wa afrika kusini kwa kosa la kuongoza Maandamano ya wananchii kupinga Ubaguzi wa rangi nchini humo.
Kiongozi huyo alifungwa Jela kwa miaka 27 kabla ya kuachiwa Mwaka 1990.