Kikawaida tunajuwa karatasi hutengenezwa kwa Mbao!!
Lakin Ukifika Nchini Taiwani Unaweza Ukastaahabu kuona au kusikia Jinsi ambavyo mawe yana Tengeneza Makaratasi!!
Kamupuni ya Lung Meng Imeweka dala za kimarekani Milion 50 kwa ajili ya Mradi huo Maneger wakampini hiyo bw. Henry Liang amesema mawe hutumika asilimia 80% ambayo husagwa na kuwa unga mwepesi nakuchangwa na Plastick kidogo..
Nabae kutoa karatasi hizo Ambazo licha yakuwa na muonekano nadhifu lakini pia karatasi hizo hazi lowani na maji kirahisi.....!!
